Leo tunajifunza kuhusiana na IMANI
Watu wengi hujiuliza imani ni nn na wasipate majibu ya maswali yao.
Lakini kitabu kitakatifu cha Mungu tunaambiwa " Imani ni bayana ya mambo yasiyo onekana, na kuwa na hakina na mambo yatarajiwayo", katika kitabu cha WARAKA WA YAKOBO 2:14 hapa tunaona namna watu wanavyoweza kuitumia vibaya hii imani pasipo kujua. Maandiko yanasema "Ndugu zangu, yafaa nini, mtu akisema ya kwamba anayo imani, lakini hana matendo? Je! Ile imani yaweza kumuokoa?
Ndugu msomaji, ni hakika watu huelewa vibaya pale wanapohubiriwa makanisani mwao juu ya neno IMANI, lakini leo napenda kukufahamisha kuwa hata Mungu wetu anatuuliza " je, tutawezaje kufanikiwa na imani tuliyonayo pasipo matendo?"
Hivyo tunachotakiwa ni kuamini kwa kile tunachokihitaji katika maisha yetu huku tukijishughulisha, tukiweka nguvu katika jambo husika na ndipo Mungu atatuwezesha
Kwa mf. Leo mwanafunzi aamini kufaulu pasipo kufanya juhudi za kusoma hakika hatofanikiwa. Na hapo ndipo huanza kumlaumu Mungu pasipo kufahamu yeye mwenyewe ni wapi alikosea.
Hakika Mwanadamutia juhudi za ziada katika kile unachoamini kisha Mungu atakuwezesha kuonq mafanikio katika jambo lako unalihitaji.
Huwezi kupata maji kama hujachukua hatua ya kwenda mtoni ama bombani kuyateka, hvyo ndivyo ilivyo hata katika imani uliyonayo. Usi ikalie, ifanyie kazi na Mungu atakubariki.
bronze athletics - Titanium Athletics
JibuFuta› m.ac.f › m.ac.f M.AC.f A trekz titanium pairing bronze-inspired athletics program that includes cerakote titanium the citizen eco drive titanium watch athletics program fallout 76 black titanium of football, golf, and hockey. titanium sia The program also features